Rais Karume akutana na Viongozi wa Mufindi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume, akipokea Ngao ya kuwa mlezi wa Michuano ya Kombe la Muugano kutoka mufindi, kutoka kwa Mkurugenzi Masoko wa Vodacom Tanzania,ambao ndio wamedhamini michuano hiyo, Ephraim Balozi Mafuru,Ikulu Mjini Zanzibar jana,(katikati) ni Mratibu wa kombe la Muungano kutoka Mufindi Iringa, Yassin Daud.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa