MBUNGE wa jimbo la Singida Mjini Mohammed Gulamu Dewji juzi aliweza kufanikisha safari kwa mwancdhi wa jimbo
Dewji alitimiza adhima ya safari hiyo kwa kazi huyo mkazi wa Singida mjini, Flora Francis (21) ambaye aliweza kumsaidia matibabu kwa kipindi cha miezi kadhaa mpaka kufanikishiwa safari ya matibabu.
"Nashukuru ofisi ya Mbunge wa jimbo la Singida mjini kwa msaada niliyopatiwa kwa ajili ya matibabu ya upasuaji wa moyo, nimeteseka kwa muda mrefu hali na familia yetu haikuwa na uwezo' alisema Frola.
Kwa upande wa mama mzazi wa Frola, Magdalena Francis alishukuru kwa msaada huo huku akitanguliza shukrani zake kwa Dewji kwa msaada huo. "Tunahamini kwa safari ya kwenda
Mgonjwa huyo Flora Francis alipatwa na tatizo
Safari hiyo ya kwenda India kwa matibabu, mgonjwa huyo aliongozana na wagonjwa wengine 24 chini ya uratibu wa Hospitali ya Regency na (Heart Surgery Project Lion) Lions Club,inayoongozwa na Mwenyekiti wa Hospitali ya Regency, Dr Rajni Kanabar.
Kwa upande wake Dr Rajni Kanabar alisema kuwa, baada ya kupatiwa matibabu wagonjwa hao wanatalajia kurudi

No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa