Heri ya Pasaka nyote!!
Frank Andoye aliyeigiza kama Yesu (katikati) akiwa amewambwa msalabani walipokuwa wakiigiza igizo la mateso na kufa kwa Yesu Kristo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Dar es Salaam wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu. Kulia ni Tumaini Michael na Moses Kombe. (Picha na Mroki Mroki).
No comments :
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa