Translate in your language

Sunday, March 28, 2010

BREEKING NEWS!!
MVUA YAACHA WAKAZI 1400 BILA MAKAZI WILAYA YA CHATO.

HABARI ZILIZOTUFIKIA SASA! WAKAZI ZAIDI YA 1400,WA WILAYA YA CHATO, WAMEKOSA SEHEMU ZA KUKAA KUFUATIA MVUA KUBWA ILIYONYESHA ZINAZOENDELEA KUNYESHA KATIKA MAENEO KADHAA YA WILAYA HIYO NA VIJIJI VYAKE.
 
MVUA HIYO IMEWEZA IKUHARIBU VIBAYA BAADHI YA NYUMBA ZA WAKAZI HAO AMBAZO ASILIMIA KUBWA YA NYUMBA HIZO NI ZA UDONGO HIVYO KUFUATIA MVUA HIYO  ILIWEZA KUZISOMBA TAKRIBANI MAENEO YOTE YA MAKAZIK HAYO.
 
habari kamili za tukio hilo tutaendelea kuwaleteeni hapo punde,,,,??

No comments :

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

Kijiweni (nipe 5)