katika kuunga juhudi za ukuaji wa uchumi wa viwanda, kampuni inayojishughulisha na biashara kwa njia ya mitandao (oreha) kwa kushirikiana na wadau wengine wanakuunganisha na kiwanda cha uzalishaji wa mashine za ufyatuaji wa matofali.
Mashine ambazo ni rahisi kwa matumizi na rafiki kwa matumizi ya mazingira yote (mjini na vijijini), Mashine za kufyatulia matofali ya udongo wa mfinyanzi na cement, tofali zinazoshikana/kuunganishwa zenyewe bila kuunganisha kwa cement/udongo (mota).
Mashine moja inaweza kuzalisha tofali/vigae vya aina tofauti kulingana na mahitaji yako, ni rahisi tu unakuwa unabadilisha moulds kulingana na aina ya tofali au kigae unachotaka
pia kwa wale watakaokuwa na mahitaji ya mashine tofauti na zinazoonekana katika picha wanakaribishwa kwa kuleta design/mchoro wa picha wanazozitaka na wakatengenezewa mashine katika ubora wa juu na zitakazoweza kukaa muda mrefu bila kuharibika na kufanya kazi katika ubora unaohitajika
Tofali imara zinazofyatuliwa bila kibao na kuweza kubebwa zenyewe kabla ya kukauka bila ya kuvunjika, Tofali zinazoweza kujengea nyumba imara na kwa bei nafuu sana.
Mashine ziko za aina tofauti na uchukua siku 30 hadi 45 toka ulipie mpaka kukufikia mkononi maana zinatoka china moja kwa moja.
Utaratibu wa malipo, tunaanza na malipo ya 30% kwanza kuanza matengenezo ya mashine kiwandani na kumalizia 70% inayobakia pale mashine yako inapokuwa imekamilika,
Mfumo wetu wa malipo ni mzuri na salama kwa pande zote mbili (mlipaji na mlipwaji). kwani ni mifumo ya kibenki (TT) inahusishwa kwa usalama zaidi wa fedha zako.
karibuni sana, kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana kwa namba zifuatazo:- 0783317009/0621108384 au kwa email orehabusuness@gmail.com
kama utahitaji kuona video jinsi mashine hizi zinavyoweza kufanya kazi ntumie whatsap message kupitia namba 0783317009 ukiandika "naomba ntumie video kuona inavyofanya kazi"
2 comments:
Napenda nipate mashine za kufyaturia tofali hapa nchini kwetu Burundi udongo mfinyanzi,tuko hapa Mkoani Rumonge katika Wilaya ya Rumonge,email ni bahemaevariste@gmail.com website ni www.scmm-bdi.com namba za simu ni +25769799868 na +25775165197 tutashukuru kwa mawasiliano yenu mazuri.
Nimefurahishwa na mashine hizo. Naweza kuzipataje hapa Mkoani Arusha, na kwa bei gani. Email yangu ni:- wilsonephat@gmail.com
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa