Friday, August 4, 2017

Mashine za kuulia na kufukuza mbu ndani ya nyumba

Kampuni yako ya OREHA inakuletea mashine za kisasa za kuulia na kufukuzia mbu zinazotumia umeme, na ambazo zina uwezo wa kudumu kwa takribani siku 60 (miezi 2) tangu kununua.

faida za mashine hizi:

1. Zinakuja na tofauti na dawa, hivyo unaweza ukanunua dawa pale inapoisha na kuendelea kutumia mashine yako 

2.  Haugombani na watoto pale wanapoacha mlango wazi, dawa inakuwezesha kuwepo katika chumba/nyumba kwa kipindi chote inapokuwa inawaka

3. Unaweza pia kusafiri nayo (portable) kama unakoenda kuna chanzo cha umeme

4. Inakula umeme mdogo sana ambao hauwezi kukuathiri katika matumizi yako ya LUKU 

5. Haina madhara kwa binadamu (wakubwa na wadogo)

6. Ni rafiki kwa mazingira (haitoi moshi, wala harufu mbaya)

7. Haiitaji kukaa nje wakati wa kuweka kama vile dawa za kupulizia 

8. Ni rahisi kutumia, unachomeka katika umeme na kuwasha tu 

9 Inaweza kutumia kama marembo ndani ya nyumba 

10. Inaweza kutumika kama chanzo cha manukato ndani ya nyumba (air fresh) 

Bei: ni sawa na kutupa, inapatikana kwa kiasi cha shilingi 12,000/= tu ikiwa ni gharama ya mashine na dawa, na shilingi 6,000/= kama utaitaji dawa peke yake, karibuni sana  

Huu ndio muonekano wake 


Muonekano wa boksi wa mashine tulizonazo kwa sasa 

Aina nyingine za muonekano wa mashine 

Inatumia Umeme 

Aina ingine tuliyonayo kwa sasa 

Dawa yake (re fill) zinapatikana kwa wingi, ziko aina tofauti (zilizo na harufu (manukato) na zisizo na manukato

KARIBUNI SANA, KWA DAR ES SALAAM UKIAGIZA KUANZIA TATU (3) TUNAKULETEA MPAKA NYUMBANI/OFISINI, KWA MIKOANI TUNATUMA KWA GHARAMA ZA MTEJA 

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa