Dar es salaam, Kampuni kubwa ya kimataifa maarufu kama
'Carchief' inayojihusisha na huduma ya
uuzaji wa magari kutoka Japan, iliyojitanua kwenye zaidi ya nchi 8 yenye uzoefu
wa miaka zaidi ya 20 na makao makuu yake
yanapatikana Dulban - South Africa.
Kwa upande wa nchi za Africa Mashariki 'Carchief' imefungua
matawi, Kenya na Tanzania. Kutokana na huduma za Carchief kuwa na mvuto kwa
wateja na wadau wengine, Carchief Tanzania imelazimika kufungua matawi 3 ingawa
soon lingine la 4 litafuata mkoani Arusha, Kwa Tanzania makao makuu ya Carchief
Show Rooms yanapatikana Dar es salaam,Victoria,
All- Hassan Mwinyi Road, mkabala na ofisi za Halotel, Show Room ya pili
linapatikana Kinondoni Moroco na ya tatu inapatikana mkoani Mwanza
Makongoro Road.
Habari njema kutoka kampuni ya Carchief Tanzania, "Kwa kutambua thamani ya wateja wetu + uhalisia wa maisha ya Watanzania na vipato
vyao, tumekuja na huduma mpya itakayo mnufaisha mteja pamoja na familia yake.
Ukinunua gari kwenye show room zetu utapatiwa
huduma kama ifuatavyo;. (a) Usajili wa gari yako, (b) Platnumber ya gari
yako (c) Road Lisence, (d) Car engine service (e) Free Carwash two time (f)
Memership Card (g) Ushauri kwa mteja pindi anunuapo gari.
Jinsi membership Card
inavyo kusaidia mteja: Ukikununua gari kwa mara ya kwanza utapewa Membership
Card ambayo itakusaidia pindi utakapo rudi kununua gari kwa mara ya pili unaweza
ukawa ni wewe mwenyewe au Ndugu, Jamaa au Rafiki, kupitia Card ya
uanachama utapata punguzo la bei mpaka
20% kama ulinunua Noah milioni 10 utauziwa kwa milioni 8. Karibu Carchief Tanzania ufurahie huduma
zetu.
Kumbuka mbali na
kuuza magari tuliyonayo kwenye Show Room zetu, pia tunatoa huduma ya kukuagizia
gari kutoka Japan. Yote katika yote Karibu sana Carchief umiliki gari linalo endana
na wewe Asante.”
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa