Sunday, February 28, 2016

Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla akutana na Wataalam wanaoshughulikia mpango wa BRN wa wizara yake

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla mapema leo Februari 27.2016(jana) amekutana katika kikao maalum na Wataalam wa Wizara hiyo ambao wapo katika timu inayoshughulikia Mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN) katika kufanikisha namna ya utoaji huduma bora na ufanisi katika mipango mbalimbali ya kufikia malengo ambayo Serikali ya Tanzania ilianzisha mpango huo.
Dk. Kigwangalla amekutana na wataalam hao kwa mara ya kwanza, ili kupata mrejesho na kuelewa kiundani namna Wizara yake inavyotekeleza mpango huo wa matokeo makubwa sasa (BRN).

Aidha, Sekta ya Afya ni ya nane (8), katika Sekta zinazotekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN).
NB: Waweza kusoma zaidi juu ya Wizara ya Afya na mpango huo wa BRN kwenye taarifa yake iliyotoka mwaka 2015. Bonyeza hapa: http://ehealth.go.tz/admin/rmo_materials/2.4.%20BRN.pdf
DK KIGWANGALLANaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN). Katika mkutano huo leo Februari 27.2016, jijini Dar es Salaam.
DK hk7Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (Kushoto) akisikiliza kwa umakini masuala mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN). Mkyano huo unafanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo Februari 27.2016.
dk hk 80Wajumbe wa BRN wa Wizara ya Afya wakitoa maelezo yao mbalimbali kwa Naibu Waziri, Dk. Kigwangalla (Hayupo pichani).
DK KIGWANGALLA BRN67Wajumbe wa BRN wa wizara ya Afya wakifuatilia kwa umakini mkutano huo na Naibu Waziri (hayupo pichani)
dk hk jjjaNaibu Waziri Dk.Kigwangalla akisikiliza kwa umakini pamoja na wajumbe wengine katika mkutano huo ambao amekutana na wajumbe wa timu ya wataalam wa Wizara yake hiyo wanaoshughulikia masuala ya BRN.
dk kigwangalla BRNMjumbe wa Wizara hiyo anayeshughulikia mpango wa BRN, Bw. Benard Konga akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kigwangalla katika mkutano huo
dk hkii
DK KIGWANGALLA2Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN).
dkk hk21Mkutano huo ukiendelea..
DK KIGWANGALLA6Wajumbe wa Wizara ya Afya wanaoshughulikia mpango wa BRN wakifanua jambo.
dk hk7wNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN).DK KIGWANGALLA BRN67Baadhi ya Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN) wakifuatilia mkutano huo mapema leo Februari 27.2016, katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.

Dk Kigwangalla BRN3 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akisikiliza mambo mbalimbali kutoka kwa Wataalam wa timu ya Wizara hiyo ya Afya ambao wanashughulikia mpango wa Matokeo makubwa sasa (BRN) katika kikao maalum alichokutana nacho mapema leo Februari 27.2016, katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Andrew Chale,modewjiblog).


No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa