Mafiamatembezi

▼

Sunday, May 11, 2014

MTOTO AUA WAZAZI WAKE WAWILI NA KUCHOMA MOTO NYUMBA MKOANI KILIMANJARO

WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32), anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba yao na kutokomea kusiko julikana.


    Tukio hilo la kusikitisha na la aina yake limetokea juzi majira ya saa 12:30 jioni katika kijiji cha Masama-Roo, Kata ya Machame Mashariki,wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya kijana huyo kuchukua uamuzi huo ambao unadhaniwa ni sababu za ugomvi wa kifamilia. Waliouawa wametambulika kwa majina ya Shahidu Njau(60) ambaye ni baba mzazi wa mtoto huyo na Minae Swai(57) ambae ni mama mzaz
    Share

    No comments:

    Post a Comment

    here u,re comments/acha ujumbe wako hapa

    ‹
    ›
    Home
    View web version
    Powered by Blogger.