Huko Zimbabwe kuna mambo! Mama moja kakrimu mtoto wake ili aonekane shombe halafu kaenda kwa mhindi kudai yeye ni baba. Nia yake ilikuwa kumtapeli huyo mhindi ili kupata pesa! Huyo mama kaolewa lakini katembea nje ya ndoa yake na mhindi.
Natoa pole kwa huyo mtoto! Kuwa creamed mwili mzima unaweza kumletea madhara ya afya kama kansa ya ngozi.
Huyo mama na mue wake wanashitakiwa mahakamani kwa kosa la utapeli.
soma zaid
hapa
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa