shime wana Mafia walio ndani na nje ya Mafia kuchangia mfuko wa community bank kwa kununua hisa za benki hiyo.
kwa kufanya hivyo utaweza inua maendeleo yako na ya Mafia yako pia
picha ikimwonyesha Mwakilishi wa kamati ya uanzishaji wa benki hiyo akiwasilisha maada mbele ya wajumbe
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa