Monday, February 20, 2012

RUVU JUU WATER TREATMENT (tembea ujifunze !!!!)

 Ramani ikionyesha usafishaji wa maji kwa ujumla wake 
 chujio kabla, bar screens, hutummika kuchuja maji kabla hayajaingia katika taratibu za kusafisha na kutia dawa tayari kwa matumizi ya binadamu 
 haya ndio maji yanayochukuliwa kutoka katika mto wa ruvu tayari kwa process za kusafisha, can u imagine maji tunayokunywa hapa Dar ndio chanzo chake yakiwa katika hali hiyo 
 hatua ya awali kabla ya kusukumwa kuelekea eneo lingine na kuendelea na taratibu za usafishaji, hapa ni eneo la makusanyo tu na kutulizwa kidogo kupunguza tope, hapa ni pembeni mwa daraja la Ruvu barabara ya morogoro  
 eneo lingine la mtambo maji yakiwa yanatiwa dawa na kuendelea na usafishwaji 
yakiwa yametulia na kuanza kuonekana ni masafi, eneo hili ni la juu na chini ni ofisi 


tembea uone na ujifunze ndivyo naweza malizia !!!!!!

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa