mchezaji wa timu ya polisi akipiga faul kuelekea upande mwingine
hekaheka golini mwa timu ya polisi
mtu na mtu!!!!!!! watu walikaza
wachezaji wa timu ya polisi wakiweka ukuta katika moja ya fauls zilizogwa kuelekea langoni kwao
washabiki na watazamaji walikuwepo kupata burudani ya mchezo
penalti iliyofungwa kwa ustadi mkubwa na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa 2-2
ingawa mchezo ulikuwa wa kirafiki, lakini lawama na maneno zilikuwa za hapa na pale zikielekezwa kwa refa
watu wakiwa wamesimama katika line za kingo za uwanja bila kufahamu madhara yake, ikiwa ni kupigwa ni mipira na kuangukiwa na wachezaji
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa