UHABA wa magari ya kubebea maiti na miundo mbinu mizuri katika maeneo mengi ya nchi hususani vijijini hupelekea wakazi wa huko kutumia bodaboda kusafirishia maiti na kinachoumiza zaidi ni pale maiti inapofungwa mipira au kamba ili isianguke wakati wa safari.
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa