Monday, October 3, 2011

CCM YAIBUKA KIDEDEA IGUNGA




Wakazi wa Igunga wakisubiri kusomwa kwa matokeo
Chama cha Mapinduzi CCM kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora, Mgombea wa kiti hicho Dk Dalaly Kafumu ameongoza akifuatiwa kwa ukaribu na mgombea wa Chadema Joseph Kashindye huku mgombea wa CUF Leopold Mahona akishika nafasi ya Tatu.
Matokeo haya yemesomwa hadharani na msimamizi wa uchaguzi jimboni humo muda huu wa mchana. Awali Jimbo hilo lilikuwa chini ya Mbunge Rostam Azizi aliyeamua kujiuzuru.kwa taarifa zaidi ungana nasi baadaye

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa