Wednesday, September 28, 2011

MAFUNZO YA UHAMASISHAJI MATUMIZI YA VYANDARUA - MAFIA

 Mkufunzi akielekeza voluntia watakaokuwa wakihasisha jamii juu ya matumizi ya vyandaru vilivyo na viuatilifu dhidi ya mbu waenezao malaria
 Voluntia wakiwa makini kumsikiliza mwezeshaji
 E
neo lingine mwezeshaji akielekeza jinsi ya uhamasishaji

 Wakina mama ndio walikuwa kwa wingi kwani ndio wahasishaji mahiri ukizingatia ndio walezi

 Mwezeshaji akiwa anamsikiliza kwa makini voluntia
Na huu ndio usafiri uliotumika kusafiria katika uelimishaji wa jinsi ya kuhamasisha jamii juu ya matumizi ya vyandarua

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa