Friday, February 18, 2011

Rais Kikwete atembelea Majeruhi wa Mabomu Leo

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkewe Mama Salma Kikwete alipotembelea Hospitali ya Manispaa ya Wilaya ya Temeke kuwapa pole majeruhi wa mabomu yaliyotokea Gongo la mboto Jijini Dar es salaam 17.2.2011

Rais Jakaya Kikwete akimlisha chakula mtoto Sarafina Idd miaka mitatu (3) Mkazi wa Gongo la Mboto kituo kipya alipowatembelea majeruhi wa Mabomu waliolazwa Hospitali ya manispaa ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Kikwete Akiwafariji na kuwapa pole mtoto Aisha Omary miaka minne (4) na Mama yake Ester Kilochi wakazi wa Gongo la mboto Moshi Bar wakiwa wamelazwa Hospitali ya Wilaya ya Ilala Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa