Kiungo wa Bongo Movie,Ben Kinyaiya akipiga penati na kukosa kwa kupiga nje.
Mshambuliaji wa kushoto wa timu ya Bongo Freva,KR Mullah akimtoka mchezaji wa timu ya Bongo Movie katika mchezo uliopigwa jioni jana katika uwanja wa Taifa.
Mshambuliaji wa timu ya Bongo Freva,H. Baba akiipachia timu yake bao la kuongoza dhidi ya Bongo Movie katika mtanange wa kuchangia maafa ya Gongo la Mboto uliopigwa jioni hii katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
Nyanda wa timu ya Bongo Freva,Tunda Man akionyesha utaalamu wake mbele ya mchezaji wa timu ya Bongo Movie,Joti katika mtanange uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
Uwanja ulifurika sana kwa kweli,hii inaonyesha ni kiasi gani watu walivyohamasika katika swala zima la kuchangia wahanga wa mabomu kule Gongo la Mboto.
kwa msaada wa muchuzi matiko blog
No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa