Thursday, September 23, 2010

WADAU WA SEKTA YA NISHATI WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA UZALISHAJI UMEME NCHINI

Kamishina wa Nishati na Petroli wa Wizara ya Nishati na Madini Injinia Bashir Mrindoko akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu mkutanao wa mwaka wa wadau wa sekta ya Nishati unaojadili namna kukabiliana na changamoto zinazokwamisha maendeleo ya sekta nishati nchini leo jijini Dar es salaam.

kwa msaada wa blog ya michuzi kwa maelezo zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa