Monday, August 23, 2010

Ukatili wa kutisha Dar(alfajili ya leo Agost 23)

* Mwizi akatwa katwa viungo na kuchomwa moto
*Apolwa pikipiki na kuuwawa katika bonde la mkwajuni

Na….. mwandishi wetu

WANANCHI wenye hasira alfajiri ya kuamkia jana walipambana na kundi la wahalifu katika barabara ya Kawawa palipo   pori la magomeni na mkwajuni na kufanikiwa kumkamata mmoja na kumuua kisha kumchoma moto.

Tukio hilo la aina yake lililogusa hisia za wakazi wa magomeni na mkwajuni ambapo inadaiwa wahalifu hao walikua kundi la watu sita walimvamia
mwendesha pikipiki aliyekua akikokota pikipiki hiyo majira ya alfajili
ambapo walimpola na kisha walimkatakata mapanga sehemu mbalimbali za
mwili wake na kumsababishia kupoteza fahamu.

No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa