mdau nikiwa katika ndege wakati nilipopiga picha ya MAFIA hapo juu , hivi ndivyo inavyoonekana kisiwa hiki cha MAFIA ukiwa hewani kwa maana katika ndege.
KARIBU MKARIBIE MAFIA
1 comment:
Anonymous
said...
kaka naona mwakula raha tu uko !!!!! poa kaka hongera kwa hii kitu
1 comment:
kaka naona mwakula raha tu uko !!!!! poa kaka hongera kwa hii kitu
nakupa tano kaka keep it up !!!!!!!
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa