Miss Universe Tanzania 2010 Hellen Dausen akikatiza jukwaani na vazi la Mbunifu wa Mavazi kutoka nchini Afrika Kusini, David Tlale wakati wa onyesho maalum la mavazi maarufu kama "Fashion for Education benefit" lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania. Vazi hilo lilinunuliwa kwa shilingi milioni moja.
Wanamitindo wakionyesha mavazi yaliyobuniwa na mwanamitindo Taibo Baca kutoka Zimbabwe wakati wa Onyesho maalum la FASHION FOR EDUCATION lililoandaliwa na mwanamitindo wa Tanzania Ally Rehemtullah chini ya udhamini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania. Onyesho hilo lilikuwa maalum kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Elimu katika Wilaya ya Kisarawe.

No comments:
Post a Comment
here u,re comments/acha ujumbe wako hapa