Tuesday, May 25, 2010

Rais Kikwete awasili jijini Nairobi kulihutubia Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi amabapo atahutubia Benge la Afrika Mashariki.Aliyesimama Pembeni ya Rais ni Makamu wa Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka(picha na Freddy Maro)



No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa