Sunday, April 18, 2010

TAMASHA LA WATOTO DODOMA


 
Picha mbalimbali za matukio ya tamasha la watoto
 
Watoto mkoani Dodoma leo wamewakilisha watoto wenzao katika tamasha kubwa  nchini Tanzania  katika kupongeza Bunge kwa kupitisha sheria ya kumlinda mtoto

 wa Tanzania, Sheria hiyo imepitishwa na  mwaka 2009 na imeanza rasmi kutumika April 1 .mwaka huu.. Katika maandamano yaliyopokelewa na Waziri mkuu Mizengo Pinda leo katika viwanja vya Uwanja wa Jamhuri Dodoma leo. Picha zote na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO



No comments:

Post a Comment

here u,re comments/acha ujumbe wako hapa